Kama ni mpenzi wa Hekaheka nakusogezea hii iliyosikika leo mtu wangu, inatoka Shinyanga ambapo kuna story ya msichana ambaye ana wana ta...
Ukatili: Hekaheka ya leo, mama alimmwagia mtoto wake maji ya moto
Nimekuwekea Hekaheka ya leo February 04, inatokea Buguruni Dar inahusu mama ambaye amekuwa na tabia ya kumtesa mtoto wake wa kiume kwa k...
Hekaheka ya leo inamhusu msichana aliyepelekwa Oman kufanya kazi za ndani.
Kwenye Hekaheka ya leo Jan 19 inatokea Dar inamhusu Binti mmoja aliyepelekwa Oman na mtu aliyemfahamu kwa ajili ya kufanya kazi za ndani...
Hekaheka, Inahusu mwanaume aliyechoma moto nguo za mke wake na watoto
Kama ulipitwa na Hekaheka ya leo January 13 inatokea maeneo ya Kimara Dar, inahusu mwanaume aliyemchomea mke wake nguo pamoja na nguo...
Hekaheka ya leo, Inamhusu Mama anayejisaidia kwenye ndoo! story iko hapa
Hekaheka ya leo Jan8, inatokea huko Shinyanga , ambapo watu wanaishi nyumba moja wamemlalamikia mpangaji mwenzao kwa kitendo chake cha ...
Hekaheka Nesi Aliruhusu Mtoto Aliyezaliwa Kuzikwa Kumbe Alikuwa Hai..Story iko hapa
Mama mmoja mjamzito alikwenda Hospitali ya Mkoa Morogoro siku ya jana, alipofika hospitali hapo hakupata huduma nzuri kutoka kwa nesi aliy...
Hekaheka ya leo iko hapa, ni muendelezo wa ile ya bwana harusi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuoa Tanga.
Hekaheka ya leo December 18 inatokana na ile ambayo ilisikika kwenye Leo Tena ya December 11 ambapo ilikuwa inatoka Tanga ambapo jamaa m...
Inasikitisha: Pale ambapo mwanaume anapokata ujauzito na kupelekea mwanamke kutupa mtoto chooni
Hekaheka ya leo December 16 inatoka Dar es Salaam ambapo msichana mmoja alijifungua mtoto chumbani kwake ndani ya nyumba aliyopanga na...
Mwanaume Mmoja Apotea Katika Mazingira ya Kutatanisha Baada ya Kuoa Tanga.
Leo kutoka kwenye kituo cha Redio cha Clouds Fm wameripoti juu ya tukio la Mwanaume mmoja alipotea kwenye mazingira ya Utata taarifa h...
Hekaheka ya leo Desemba 09 inatoka Bukoba, inahusu Waumini kumkataa Mchungaji
Kama hukusikiliza Hekaheka ya leo Jumanne ya Desemba 9 kupitia Clouds FM kwenye Leo Tena, inahusu Waumini wa Kanisa la TAG Bukoba...
HEKAHEKA YA LEO NOV 20, INAHUSU MTOTO ALIYEFIA KITUO CHA POLISI
Alhamisi ya leo kupitia Clouds Fm kwenye Leo Tena, Hekaheka inahusu mama ambaye amefiwa na mtoto wake akiwa mikononi mwa Polisi, ambapo ...
Sehemu ya kwanza ya mtoto aliyepoteza maisha wakati akinyweshwa uji #Hekaheka
Maelezo ya Gea Habib ambaye ndiye mkuu wa idara ya Hekaheka ni kuhusu mtoto aliyepoteza maisha kwa bahati mbaya wakati akinywesha uji,hii ...
Sikiliza mbinu aliyoitumia huyu dada kunasa ‘mchepuko’ wa mumewe #Hekaheka
Kila siku duniani kumekua kukiibuka vitu vingi sana ambavyo baadhi yake huwa ni vile vya kufurahisha lakini wakati huo huo vinakujenga p...
Muendelezo wa ile Hekaheka ya Fumanizi ya Mke kumfumania Mumewe hii hapa
Hii ilianza jana ambapo alisikika mwanamke ambaye anasemekana kumfumania mume wake na mwanamke mwingine,idara ya Hekaheka kama kawaida y...
UMEIPATA HII HEKAHEKA: Mke aliyeamua kwenda kumfumania Mumewe
Ni stori ambazo huwezi kumaliza miezi 3 bila kusikiliza zimetokea mitaa mbalimbali ya uswahilini ambayo jamii kubwa tunaishi huko,H...
SIKILIZA ILE STORY YA MWALIMU KUWAAMURU WANAFUNZI WAMZOMEE MZAZI, UNAJUA NINI KILICHOTOKEA! BONYEZA HAPA
Hekaheka ya leo September 11 2014 ni muendelezo wa ile hekaheka ya Mwalimu kuamrisha Wanafunzi kumzomea Mzazi pamoja na mtoto wake ambae n...
Idara ya Hekaheka imekuja na hii tena,kuhusu mke aliyemkimbia mume wake bila kutaja sababu.
Ingawa mke huyo amekataa kutaja sababu za kumkimbia mume wake na kuamua kuanzisha maisha yake binafsi lakini Mume wake kwa mujibu wa mash...
NISHA AZUA TAHARUKI HEKALU LA FREEMASON.
STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha', Jumanne iliyopita alijikuta akizua taharuki kufuatia kuegesha gari lake nje ya Heka...
SIKILIZA HAPA HEKAHEKA DADA ALIYEKUA NA UJAUZITO BILA KUJIJUA
Idara ya Hekaheka leo ina stori kuhusu Dada wa kazi aliyekuja mjini kufanya kazi lakini tayari akiwa na ujauzito bila kujijua hali h...

