Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia.
Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia.

Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia. Mwanaume huyo aliyefahamika kwa j...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Ufaransa yapiga marufuku vazi la kiislamu ufukweni ‘burkini’
Ufaransa yapiga marufuku vazi la kiislamu ufukweni ‘burkini’

Mahakama kubwa nchini Ufaransa imeombwa kuiondoa marufuku iliyotolewa kwenye miji 26 nchini humo kuhusiana na wanawake wanaovaa nguo za ku...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Ni Kosa Kumwangalia Mwanamke Kwa Sekunde 14 Nchini India
Ni Kosa Kumwangalia Mwanamke Kwa Sekunde 14 Nchini India

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa za...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'
Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'

Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa '...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Aliyeandika Hotuba ya Mke wa Donald Trump iliyoleta Gumzo Marekani Akiri Kosa lake
Aliyeandika Hotuba ya Mke wa Donald Trump iliyoleta Gumzo Marekani Akiri Kosa lake

Mfanyakazi mmoja wa bwenyenye mgombea kiti cha urais wa Marekani kwa tikiti cha chama cha Republican Donald Trump, amekiri kuiga hotuba y...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Muuaji wa Orlando alitembelea kilabu ya wapenzi wa jinsia moja
Muuaji wa Orlando alitembelea kilabu ya wapenzi wa jinsia moja

Ripoti kutoka Orlando Marekani zasema Omar Mateen, mtu aliyewafyatulia risasi na kuwaua watu 49 katika klabu moja ya watu wanaoshiriki m...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Wanajeshi wa Pande Hasimu Wakabiliana Burundi......Milio ya Mabomu na Risasi Yaendelea Kusikika.
Wanajeshi wa Pande Hasimu Wakabiliana Burundi......Milio ya Mabomu na Risasi Yaendelea Kusikika.

Makundi hasimu ya wanajeshi yanakabiliana katikati  ya mji mkuu wa Burundi- Bunjumbura, mahala ambapo tangazo lilitolewa jana Jumatano k...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Waziri wa ulinzi wa korea kaskazini auawa baada ya kumkosea heshima kiongozi wa nchi hiyo kim jong-un
Waziri wa ulinzi wa korea kaskazini auawa baada ya kumkosea heshima kiongozi wa nchi hiyo kim jong-un

Idara ya ujasusi ya Korea Kusini imesema kuwa waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Vurugu Burundi: Polisi wapambana na Waandamanaji Wanaompinga Rais Nkurunzinza kugombea Urais tena.......Katiba ya Nchi hiyo hairuhusu mihula mitatu
Vurugu Burundi: Polisi wapambana na Waandamanaji Wanaompinga Rais Nkurunzinza kugombea Urais tena.......Katiba ya Nchi hiyo hairuhusu mihula mitatu

WAPINZANI wa Serikali nchini Burundi, wameitisha maandamano makubwa leo ya kupinga hatua ya Chama Tawala cha CNDD-FDD kumtangaza Ra...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Zaidi ya Watu 1000 Wadaiwa Kupoteza Maisha kwa Tetemeko la Ardhi Nchini Nepal
Zaidi ya Watu 1000 Wadaiwa Kupoteza Maisha kwa Tetemeko la Ardhi Nchini Nepal

Zaidi ya watu elfu moja wamepoteza maisha kufuatia tetemeko kubwa la ardhi nchini Nepal karibu na mji mkuu wa Kathmandu. Polisi wam...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Breaking News: Jenerali Muhammadu Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria, ambwaga rais Goodluck Jonathan
Breaking News: Jenerali Muhammadu Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria, ambwaga rais Goodluck Jonathan

Rais mpya wa Nigeria Buhari Muhammadu Buhari, ni Muisilamu, mzaliwa wa Jimbo la Katsina, Nigeria kaskazini. Alizaliwa mwaka 1942, ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo cha utii kutoka kwa kikundi cha Nigeria cha Boko Haram.
Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo cha utii kutoka kwa kikundi cha Nigeria cha Boko Haram.

Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo cha utii kutoka kwa kikundi cha Nigeria cha Boko Haram . Kundi ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Vurugu zilizotokea Bungeni Wabunge Watwangana Ngumi Kavukavu,  Nakuru Kenya unaweza kuona kwenye Video hapa !
Vurugu zilizotokea Bungeni Wabunge Watwangana Ngumi Kavukavu, Nakuru Kenya unaweza kuona kwenye Video hapa !

Jana ukumbi wa baraza la Kaunti ya Nakuru Kenya umegeuka  kuwa uwanja wa ngumi baada ya Wabunge kupigana kutokana na kuwepo kwa mvutano ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Ajali ya Helicopter mbili Argentina, watu 10 wapoteza maisha
Ajali ya Helicopter mbili Argentina, watu 10 wapoteza maisha

Wanamichezo watatu walioshiriki mashindano ya Olympiki mwaka 2012 London, ni miongoni mwa watu 10 waliofariki katika ajali ya helkopta i...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Mwalimu Amuua Mwanafunzi Wake kwa Kipigo
Mwalimu Amuua Mwanafunzi Wake kwa Kipigo

Adhabu ni jambo la kawaida katika shule za Misri Mwanafunzi wa shule mjini Cairo amepigwa hadi kufa siku ya Jumapili na mwalimu wake...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Balozi wa Marekani ashambuliwa kwa kisu Korea Kusini
Balozi wa Marekani ashambuliwa kwa kisu Korea Kusini

Muonekano wa Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini, Mark Lippert baada ya kuchomwa kisu Mark Lippert (katikati) akiwa anajifuta dam...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Maamuzi ya Rais Mstaafu Nigeria siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu..
Maamuzi ya Rais Mstaafu Nigeria siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu..

Rais wa zamani wa Nigeria,  Olusegun Obasanjo  ameamua kujiondoka kutoka chama tawala cha PDP, kinachotarajia kushiriki kwenye uc...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Mwendelezo wa taarifa kuhusu waliofariki kwenye ajali ya TransAsia
Mwendelezo wa taarifa kuhusu waliofariki kwenye ajali ya TransAsia

Mpaka siku ya jana February 12 idadi ya miili ya marehemu waliofariki na kupatikana kwenye ajali ya ndege ya  TransAsia Airlines  GE235 ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Mauaji ya wanafunzi 3 waislamu Marekani yazua hisia kali
Mauaji ya wanafunzi 3 waislamu Marekani yazua hisia kali

Watu wa familia moja waliouawa huko Caroline Kazkazini Maafisa wa polisi mjini Carolina kazkazini nchini Marekani wamemkamata mtu mmoj...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Zaidi ya watu 200 wahofiwa kufariki kwenye ajali ya boti
Zaidi ya watu 200 wahofiwa kufariki kwenye ajali ya boti

Hii ni ajali kubwa ya kwanza kutokea kwa mwaka 2015 ikihusisha vyombo vya majini kupata ajali na kuua watu wengi ambapo zaidi ya...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
 
Top