Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.
Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna garo la abilia lilivyo alibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scania


Damu ambazo ni kwa wale abilia walio jeruhiwa katika ajali hiyo.

 Gari hili likiwa limepasuka vioo vyote na kuumia kwa face ya mbele.





Mwonekano wa daladala  kwa upande.

Wasamalia wema wakijaribu kutoa msaada wa kuwaokoa majeruhi.

Baadhi ya majeruhi wakiwa wametapakaza damu katika maeneo haya ya ajali

Viti vya daladala vikiwa vimeng'oka na kusambaa nje ya maeneo ya barabarani



Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wamejeruhiwa tu.


Ajali hii imetokea asubuhi ya leo maeneo ya Tabata Matumbi. Asante na endelea kutembelea kibonajoro kwa habari moto moto ndani na nje ya mipaka ya tanzania.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top