March 16, 2025 04:41:56 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Matchbox
Kama ulipitwa na  Hekaheka ya leo January 13 inatokea maeneo ya Kimara Dar, inahusu mwanaume aliyemchomea mke wake nguo pamoja na nguo za watoto wake akiwa amelewa.

Akisimulia tukio hilo mwanamke huyo amesema aliondoka nyumbani hapo baada ya kutokuwa na maelewano na mume wake ambaye alimpiga mtoto, muda mfupi baadaye majirani wakamuita kwamba mume wake anachoma moto nguo zake.
Mwanaume huyo alipoulizwa sababu ya kufanya tukio hilo hakutaka kujibu zaidi ya kusema mke wake anajua sababu ya yeye kuchoma moto nguo hizo.
hkhk
Kaka wa mwanamke walishirikiana na dada yake kumpeleka mwanaume huyo kituo cha Polisi.
Bonyeza play kuisikiliza hekaheka hiyo hapa chini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Jan 2015

Post a Comment

 
Top