Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua ...
Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana
NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga, jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinach...
Odama: Ndoa Haitanifanya Niache Filamu
Na Laurent Samatta MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazim...
Baby Madaha: Nikifa Nisizikwa Katika Makaburi ya Kinondoni
WAKATI baadhi ya wasanii wa hapa jijini, Dar wakifa huzikwa hapahapa, jambo hilo limekuwa ni tofauti kwa nyota wa filamu na muziki, Baby...
MCHUMBA: MASOGANGE KANISALITI
STORI: Musa Mateja MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya...
KAJALA MASANJA ATAMANI KUPATA MTOTO WA PILI
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha. Mwigizaji wa fi...
AISHA BUI KUBURUZWA KORTINI
Msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui wakati akiwa katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala. KESI ya msanii ...
KAJALA ATAMANI KUPATANA NA WEMA
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Mas...
Mwigizaji Jack Pentzel na Mumewe Kimenuka
NDOA ndoano! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Steven Pentzel ‘Jack Pentzel’ na mumewe Gardner Dibibi wanadaiwa kukinukisha na kui...
Urafiki Wa Wema Sepetu Na Aunty Ezekiel Wadaiwa Kuota Mbawa.
Aunty Ezekiel na Wema Sepetu New Gossip zinadai kuwa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wametibuana na sio best friends tena, hab...
Picha: Tapeli wa Kike anaswa Dar
Mtuhumiwa (Mwanaheri) aliyenaswa kwa msala wa utapeli akiwa chini ya ulinzi wa Polisi eneo la Mlimani City jijini Dar. Mwanamke ...
WEMA SEPETU AZUA KIZAAZAA CHINA KATIKA GEREZA ALILOFUNGWA JACK PATRICK
KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatr...
MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA 'MAMAA MAJANGA'
MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na ku...
BAADA YA KUTALAKIANA DIDA AZIKA RASMI NDOTO ZA KUOLEWA
NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na mume kwa kudai kuwa...


