MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala
alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo
wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi wake wa
sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake.
“Natamani kuongeza mtoto wa pili, Paula ameshakua mkubwa lazima
tumtafutie mdogo wake mambo ndiyo yatakuwa mazuri zaidi,” alisema
Kajala.Mtoto huyo wa awali, Kajala alizaa na prodyuza Paul Matthysse ‘P
Funk’ ambaye walishamwagana.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment