March 18, 2025 08:34:34 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kulikuwa na stori ya uzushi mitandaoni na June 24 nikamfata nyumbani kwao Sinza na kwenye majibu yake kulikuwa na hiki ambacho nilimnukuu pia >>>> ‘Sio mara ya kwanza kuzushiwa kifo, nasikia mara watu oooh banza kafa, mara ooh kila mtu anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima… naweza kufanya kazi ila kwa sasa siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili wangu
Screen_Shot_2015-06-24_at_10.34.33_PM1
Marehemu Banza Stone
Hiyo haikuwa mara ya kwanza Banza Stone kuzushiwa kifo.. muda mfupi baadae ikaja taarifa nyingine kwamba mwimbaji huyo ambaye alikuwa ni legend wa Muziki wa dansi Tanzania amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala Dar baada ya hali yake kuwa mbaya.
unnamed iv
jana imetufikia nyingine, ni majonzi kwa kila mtu iliyemfikia taarifa hii, Banza Stone amefariki na hizi ni picha kutoka msibani, nyumbani kwa akina Banza Stone maeneo ya Sinza Kijiweni Dar es Salaam
unnamed v
unnamed vi
Mkurugenzi wa African Stars, Asha Baraka akiwa msibani. Banza aliwahi kuwa mwimbaji wa Bendi hiyo kwa kipindi kirefu sana.

unnamed

unnamedI

unnamedII

unnamedvi
unnamedvii
SOURCE:MILLARD AYO

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
18 Jul 2015

Post a Comment

 
Top