![]() |
| Aunty Ezekiel na Wema Sepetu |
New Gossip zinadai kuwa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wametibuana na sio best friends tena, habari hizo kwa mujibu wa gazeti moja zinasema chanzo cha ndani toka kwa wawili hao zinadai kuwa Wema na Aunty walikwaruzana hivi juzi kati kabla ya Wema Sepetu kwenda nchini China
kibiashara ambapo bado yupo mpaka sasa na kumtosa shoga'ke huyo Aunty Ezekiel. Katika safari hiyo Wema ameongozana na Martin Kadinda na Petitman.
Aunty alipoulizwa na paparazi wa gazeti hilo hakutaka kulizungumzia suala hilo kwa undani ila alisema kuwa sio kila sehemu lazima aongozane na Wema kwani yupo busy na kazi na mambo yake binafsi.
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment