KWAKO mtoto mzuri ndani ya Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Hujambo? Habari ya huko ulipo? Wazima wote na familia yako? Shemeji yetu...
Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana-Lulu
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katkaia maswala mazima za kijipodoa ni...
Lulu Michael Ni Demu FEKI na Tapeli
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hi...
Lulu Michael awapa presha Wasanii Wa Kike Wanaotaka Ubunge Wa viti maalum
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonesha kuwaumiza vichwa watu baada ya kutweet kitu ambazo kilileta sintofa...
Pete ya UCHUMBA ya Mrembo LULU MICHAEL Yawa Gumzo
MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ...
Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni..Lulu Adai Diamond Ampe Kazi
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo hasubuhi,ambapo ...
Mimba ya Mrembo LULU MICHAEL Yatoweka Ghafla
Miezi miwili iliyopita kuliibuka madai mazito kwamba staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameongezeka tumbo h...
Lulu Arudi Instagram Kwa Kishindo..Atupia Picha hizi ...Zitazame Hapa
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaun...
Baba Kanumba Amuumbua Mama Kanumba, Amshangaa Kuanzisha Bifu na Familia ya Mwigizaji Lulu
Gabriel Ng’osha na Gladness Mallya BABA wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba, amemuumbua mwanamke aliyezaa naye staa h...
Mwigizaji LULU Michael Apingana na Wema Sepetu Kwa Hili Jambo.....
Sheria iliyopitishwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA "Cybercrime au Cyberbulling" Kuwa ukitukana mtandaoni na Comment i...
Mwigizaji Lulu Michael Aanika Siri ya Kutoka Kimapenzi na Walio Mzidi Umri
Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzi...
Mwigizaji Lulu Michael Afunguka "Mimi Sina Jini Mauti Jamani"
MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yey...
Mwigizaji Lulu Michael Arudi Tena Instagram Baada ya Kujitoa siku ya Kifo cha Secky
Siku ya Jana Accounts Mbali mbali Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael ...
Mama Lulu Michael Afunguka Kwa Uchungu 'Mwanangu Yupo Katika Wakati Mgumu Sana Mwacheni Mwanangu Apumzike'
Na Imelda Mtema Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Mich...
MAPYA YAJITOKEZA: Yadaiwa kuwa “Mpenzi” wa LULU aliyefariki alikuwa mume wa mtu.
Habari zinazoendelea kutufikia kwenye meza yetu zinadai kuwa marehemu Seki aliyefariki ghafla hapo jana ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi...











.jpg)