March 23, 2025 01:00:42 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’      na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.

Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.

Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema Lulu.

GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 May 2015

Post a Comment

 
Top