Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Siku ya Jana Accounts Mbali mbali  Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael  Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli ....

Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa:

lulunation_ Lulu amerudi instagram asante Mungu kwa yote account yake org ni @lizymichael
@lizymichael @lizymichael
@lizymichael
@lizymichael
follow  13h


sephoramwakalinga Karibu swthrt..saiz kua na moyo km wa jambaz @lizymichael hao shain wasikupe shida coz hakuna jipya chini ya jua, ishi utakavyo...hao machokoraa wanaojiropokea acha waendelee kujifurahisha coz hawawez kua wewe. 11h

proudoflulumichael Mungu amekuchaguwa wewe ili uwakomboee na wengine @lizymichael @lizymichael ...


proudoflulumichael She is Back again my Queen Lizy now you can follow her .Her new account is @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael ..Wellcome baq

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
24 Apr 2015

Post a Comment

 
Top