March 16, 2025 04:35:53 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya  unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.


Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa juio wake tena mtandandaoni humo kwani wanampenda na kumkubali sana.

Karibu tena Lulu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 May 2015

Post a Comment

 
Top