Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
susan
Jana ukumbi wa baraza la Kaunti ya Nakuru Kenya umegeuka  kuwa uwanja wa ngumi baada ya Wabunge kupigana kutokana na kuwepo kwa mvutano kati ya Wabunge wanaomuunga mkono Spika Susan Kihika aliyefukuzwa hivi karibuni na Wabunge wengine kumtaka Naibu Spika Samuel Tunui aendeleze vikao vya Bunge leo, huku Naibu Spika huyo akidai kushambuliwa na wahuni waliokodishwa na Spika.
Kulikuwa na muswada uliokuwa upendekeze kanuni kuhusu jinsi ya kumuondoa Naibu  Spika, Samuel Tunui na wenyeviti wa kamati mbalimbali wanaodaiwa kupinga uongozi waSpika ambao Wabunge hao bado hawajakubaliana kuupitisha muswada huo.
Taarifa hiyo iliyoripotiwa na TV ya K24 bonyeza play hapakuitazama… unaweza bonyeza {HAPA}

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top