Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
cpta
Wanamichezo watatu walioshiriki mashindano ya Olympiki mwaka 2012 London, ni miongoni mwa watu 10 waliofariki katika ajali ya helkopta iliyotokea Argentina wakati walipokuwa wakitengeneza reality show ya TV inayoitwa ‘Dropped‘.

wanafunziii
Ajali hiyo imetokea Kaskazini Mashariki mwa Argentina wakati helikopta mbili zilipogongana na kuua watu hao pamoja na marubani wawili, Juan Carlos Castillo naRoberto Abate pamoja na raia wengine watano.

koptaa
Wanamichezo hao Florance Arthaud ambaye alishinda katika mchezo wa kupiga makasia,Camille Muffat alishinda medali ya dhahabu kwa upande wa mchezo wa kuogelea kwa wanawake na bondia wa ngumi Alexis Vastine aliyeshinda medali ya fedha.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top