Hii ni ajali kubwa ya kwanza kutokea kwa mwaka 2015 ikihusisha vyombo vya majini kupata ajali na kuua watu wengi ambapo zaidi ya wahamiaji 200 wamefariki baada boti mbili walizokuwa wakisafiria kuzama katika bahari ya Mediterrania walipokuwa wakijaribu kuzamia kwenda Ulaya.
Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR limesema ni watu nane pekee ndio waliweza kuokolewa baada ya kukaa majini kwa siku nne huku wengine 203 kutojulikana waliko.
Msemaji wa UNHCR Italia, Bi. Carlotta Sami aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa boti mbili zilihusika katika ajali hiyo na zilikuwa zikitokea Libya huku kila moja ikiwa na zaidi ya watu 100.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia.07 Sep 20160
Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki ...Read more ?
- Ufaransa yapiga marufuku vazi la kiislamu ufukweni ‘burkini’26 Aug 20160
Mahakama kubwa nchini Ufaransa imeombwa kuiondoa marufuku iliyotolewa kwenye miji 26 nchini humo k...Read more ?
- Ni Kosa Kumwangalia Mwanamke Kwa Sekunde 14 Nchini India19 Aug 20160
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyu...Read more ?
- Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'02 Aug 20160
Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama c...Read more ?
- Aliyeandika Hotuba ya Mke wa Donald Trump iliyoleta Gumzo Marekani Akiri Kosa lake21 Jul 20160
Mfanyakazi mmoja wa bwenyenye mgombea kiti cha urais wa Marekani kwa tikiti cha chama cha Republi...Read more ?
- Muuaji wa Orlando alitembelea kilabu ya wapenzi wa jinsia moja14 Jun 20160
Ripoti kutoka Orlando Marekani zasema Omar Mateen, mtu aliyewafyatulia risasi na kuwaua watu 49 ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment