Mpaka siku ya jana February 12 idadi ya miili ya marehemu waliofariki na kupatikana kwenye ajali ya ndege ya TransAsia Airlines GE235 ambayo ilianguka muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege Taipei ilikuwa ni maiti za watu 42, pamoja na majeruhi 15 huku kukiwa na taarifa kwamba mwili wa mtu mmoja bado haujapatikana.
Leo vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kuupata mwili wa mtu mmoja ambao haukuwa umepatikana mpaka jana.
Ndege hiyo ilipata hitilafu kwenye engine moja na kufanya ndege hiyo kupoteza mwelekeo, ikagonga ukingo wa daraja na kuanguka mtoni.
Siku ya juzi ndugu wa marehemu walikaa kikao na uongozi wa Kampuni hiyo ya ndege na kukataa kulipwa fidia ya pesa ambayo ni sawa na jumla ya dola milioni 14.9 za Taiwan (zaidi ya Ths. Milioni 850/-) ambayo wangepatiwa ndugu hao kwa kila mtu mmoja aliyefariki kwenye ajali hiyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia.07 Sep 20160
Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki ...Read more ?
- Ufaransa yapiga marufuku vazi la kiislamu ufukweni ‘burkini’26 Aug 20160
Mahakama kubwa nchini Ufaransa imeombwa kuiondoa marufuku iliyotolewa kwenye miji 26 nchini humo k...Read more ?
- Ni Kosa Kumwangalia Mwanamke Kwa Sekunde 14 Nchini India19 Aug 20160
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyu...Read more ?
- Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'02 Aug 20160
Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama c...Read more ?
- Aliyeandika Hotuba ya Mke wa Donald Trump iliyoleta Gumzo Marekani Akiri Kosa lake21 Jul 20160
Mfanyakazi mmoja wa bwenyenye mgombea kiti cha urais wa Marekani kwa tikiti cha chama cha Republi...Read more ?
- Muuaji wa Orlando alitembelea kilabu ya wapenzi wa jinsia moja14 Jun 20160
Ripoti kutoka Orlando Marekani zasema Omar Mateen, mtu aliyewafyatulia risasi na kuwaua watu 49 ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment