Hili tukio waweza fikiri
ni uongo,hii ni kweli kabisa mrembo mmoja amekutwa amelala kwenye kabati la
chips maeneo ya Yombo Vituka jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Imeelezwa kuwa jana
usiku Muuza chips alipofunga kabati na
kufunga eneo lake la biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala.
Hata hivyo bado haijajulikana aliingiaje kwenye kabati hilo la chips maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa katika kabati hilo.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
|
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment