Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
   Hapa akipokeea kichapo toka kwa njemba mwenye hasira kali
 Huyu kibaka anasifika sana kwa wizi  tunduma sasa kuna siku ambayo ni Jana katika kutafuta fedha ili mkono uende kinywani akakutana magodolo uwani ambalo lilianikwa na nguo ambazo zilitundikwa juu ya kamba. So huyo bwana akaona ndo hapa hapa. Lakini wahenga wanasema siku za mwizi arobaini.
 Akiwa yupo chini baada ya kupigwa sana na watu waliojichukulia sheria mkononi, huku akivuja damu
wakimtembezea kichapo.
lakini kibaka huyu aliwacholopoka na kukimbilia kwenye bajaji na kuponea chupuchupu kuuawa.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top