Kutoka kwenye jarida la GQ Mpaka V Magazine, rapper Nicki Minaj amefanikiwa kuonekana juu ya kurasa za majarida makubwa duniani mwishoni mwa mwaka huu.
Sasa Minaj yupo kwenye kurasa ya mbele ya Jarida la Vogue Italia, Hii picha nilizopata
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment