Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kusubiri kesi ya kiongozi huyo.
Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo la mahakama.
UMATI wa wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda umefurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro asubuhi hii kufuatilia kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi huyo.
Wengi wa wafuasi hao wametoka jijini Dar es Salaam na wanahisi huenda kiongozi wao huyo akaachiwa kwa dhamana leo baada ya kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabiri Dar.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment