Mastar
mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi
yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi
kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano
ambao wameonyesha magari yao ya kifahari.
Star wa single mbalimbali ikiwemo Nakula Ujana Ney wa Mitego nae yupo
kwenye list ya wasanii wanaomiliki magari haya ya thamani hii ya Ney wa
Mitego ni Nissan Morano ya mwaka 2007 na hii inakamilisha gari la pili
kwenye kipindi kifupi baada ya ile Toyota Mark X.
Kwa maelezo ya mwenyewe Ney ingawa hakutaka kutaja bei kamili aliyonunulia lakini kasema ni zaidi ya Milioni 35 za Kitanzania,na hii aliinunua kama zawadi kwake siku ya June 09 alipokua anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. BONYEZA HAPA

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment