Mama mmoja
nchini Uingereza amekiri kuwauwa watoto wake watatu waliokuwa na
ulemavu.Mama huyo Tania Clarence, mwenye miaka 42, amekiri kuwa na hatia
kwa kosa la kuwauwa watoto wake ambao ni mapacha wa kiume wenye umri wa
miaka mitatu na wa kike aliyekuwa na umri wa miaka minne kwa misingi ya
kukwepa majukumu.
Watoto hao walikutwa ndani ya nyumba yao.
Clarence amekuwa akitibiwa ugonjwa wa akili Kusini mwa London ambapo alishtakiwa April 24 mwaka huu.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment