Baadhi ya watuhumuiwa wa kike
waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’..''
Farida Sarboko Makarani,
Zanzibar (kunyongwa), Adam Hariri Mohammed, Magomeni, Dar (18), Said Mfaume
Said, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Mohammed Bakari Mkemi, haijatajwa wa wapi
(kunyongwa), Mariam Ramadhan Mahimbo, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Julieth
Jonathan Jaspher, haikusemwa anakotoka (kunyongwa), Halifa Matumla Ally,
haijaandikwa atokako (kunyongwa), Rajabu Salum Mwanyenza, haijaandikwa atokako
(kunyongwa), Ismail Mohammed Rajabu Mapusa, Magomeni Dar (maisha) na Hamisi
Kombo Ally (kunyongwa).
Waliopo mbaroni ambao pia
hawajaandikwa watokako ni:- Sephu Abdulrahman, Alfredy Thomas Singini, Lawrence
Mbogoni Oni, Mohammed Ibrahimu Kilima, Wilfred Casmir Mushi, Shakira Ahmed
Mumba, Jackline Benedict, Rajabu Rashidi Mshare, John Peter Martin, Abdallah
Mwalimu Mbaruk, Rashid Mzee Mrisho, Juma Ismail Nayopa, Tsakiris Costa Achelis
na Faith Michael Kabambe.
Wengine waliohukumiwa ni
Bakari Badi Omari Mneko, Sinza, Dar (17), Masomi Thomas Joseph, Dar (17),
Abdallah Iddi Ally, Tabata, Dar (17), Kondo Ally Mohammed (20), Mohammed
Abubakar Nazzir (24), Abdallah Anwar Abasi (24), Makuti Al- Jaribu Hassan,
Kilwa, Lindi (25), Abdallah Iddi Athuman (24), Mnyamani Hamad Ally, Tanga (22),
Mtalu Rajabu Ally Rajabu, Kariakoo, Dar (17) na Shughuli Kibaya Bakari, Tanga
(8).
Wengine ni Mfaume Omar
Ng’anzi Msuya, Kariakoo, Dar (21), Steven Robert Onay (9), Omar Juma Mang’enge
(8), Steven Simon Kanul, Dar (8), Iddi Haji Fumo, Unguja (9) na Seleman Hamisi,
Unguja (8).
Pia wapo Athuman Hassan Nash,
Magomeni, Dar (8), Seleman Hussein Msimbe (8), Abdallah Farid Twalib, Dar (17),
Salim Ally Amani, haikutajwa anakotoka (22), Calist Wilson Mosha, Arusha (18)
na Saleh Abdul Omar, Kigogo, Dar (21).
Wengine ni Bugingo Sweetbert
Rwezaura, Kijitonyama, Dar (21), Mohammed Omari Ally, Zanzibar (19), Sayula
Rashid Paul, hajatajwa atokako (16), Koshuma Geofrey Gabriel, Kijitonyama, Dar
(30) na Salim Mrisho Hussein, Tanga (21).
Orodha inaendelea kama
ifuatavyo:- Riziki Riziki Hamduni, Kinondoni, Dar (19), Bashir Rajabu Kafune,
Magomeni, Dar (19), Kharim Mohammed Omar, Ilala, Dar (19), Abubakar Abdul
Ligalwike, Kinondoni, Dar (8).
Wengine waliofungwa na miaka
yao katika mabano ni Pendo Ernest Kessy, Ilala, Dar (9), Anna Kiula,
Kijitonyama, Dar (9), Nuru Shebe Maftah, Mwananyamala, Dar (9), Fatma Rashid,
Dar (9) na Naima Abdulhafidh Rashid, Mwananyamala, Dar (9).
Pia wapo Mariam Madaresa,
Arusha na Dar (9), Mohammed Omar Ally, Wete, Zanzibar (19), Faidhi Mohammed
Abdallah, Kijitonyama, Dar (14), Mohammed Ijumaa Rashid, Mbezi Beach, Dar (10),
Omari Musa Abdallah, Tanga (10), Zahra Ayubu Mwila, Korogwe na Kibaha (25) na
Shamsa Gulum Shambe, Magomeni Mwembechai, Dar (16).
Wengine waliopo mbaroni ni
Jeniffer Kessy, Mwananyamala, Dar, Shadia Issa, Mbezi Beach, Dar, Rosemary
Asakwe Kionaumela, Mapipa, Dar na Samir Sandra Khalid.
Orodha ya waliohukumiwa
inaendelea:- Tatiana Bakari Chambo, Temeke, Dar (11), Ramadhan Maneno Mtumwa,
Kijitonyama, Dar (14), Yusuf Herold John, Magomeni (18), Hassan Hiza Sebudu,
Tanga (22), Halfa Abdallah Ng’anga, Ilala, Dar (19) na Nelson Anthony Dhinner,
Kigogo, Dar (14).
Wengine waliohukumiwa ni
Awadh Salehe Awadh, Kinondoni, Dar (24), Hasim Paul Syula, Mapipa, Dar (16),
Fussy Abdu Mussa, haijatajwa anakotokea (17), Mtwanzi Carlos Adam, haijatwaja
anakotoka (17) na Yusuf Abbas Kilima, Dar (5).
Wafuatao wametiwa mbaroni;-
Salum Mhibu Mkwawira, Tunduma, Mbeya, Juma Musa Juma wa Zanzibar, Nassor
Mohammed Ayub wa Tanga, Jimmy Joseph Kivelege wa Dar, Kilugage Joram Masembo wa
Kahama, Shinyanga, Manengelo Abdurahman wa Dar na Hamud Ali Mohammed (mji
haukutajwa).
Wengine ni Eric Charles Mkude
wa Tanga, Makame Khatibu Ali wa Kiembesamaki, Zanzibar, Abdulwahid Hamisi
Mashauzi wa Singida, Said Ally Makame wa Zanzibar, Peter George Gyellah wa
Tegeta, Dar, Said Abdallah Mzee wa Dar na Yusuf Chombo Khalid wa Dar.
Wafuatao wamehukumiwa na
miaka yao kwenye mabano;- Salehe Mohammed Aboubakar, Tanga (20), Abdul Omar
Salehe, Dar (14), Omari Hussein Ally, Tanga (14), Kaliro Samson Majani
Busagaga, Tarime, Mara (9), Mohammed Salum Mbaraka, Moshi, Kilimanjaro (9),
Zuberi Musa Zuberi, Zanzibar na Dar (9), Adam Athumani Udindo (alikataa kutaja
anakotoka, 14).
Wafuatao pia wapo mahabusu
katika nchui mbalimbali, kesi zinaendelea;- Frank Thomas Frank (Moshi), Nasra
Hassani Masogoa (Dar), Nice Saidi Mbwana (Tanga na Dar), Josephine Raymond
Malibanga (hakutaja atokako), Sara Yuga Mtinda (Singida), Amina Khamisi Bwanga
(hakutaja atokako), Flora Frederick Siyame (Dar) na Zawadi Aloyce Henjewele
(Songea).
Wengine ni Upendo Eric Shayo
wa Moshi, Mariam Haruna Feruzi (Dar), Yusta Riwa (Moshi Kilimanjaro), Watende
Sudi Kiwamba (Tabora), Elizabeth Yoram Kwambaza (Korogwe, Tanga), Mariam
Shabibi (Dar) na Zahoro Mohammed Nassoro (Tanga).
Wengine waliokamatwa na wako
mahabusu ni Rashid Nassoro Maumba (Mpanda), Mohamed Said Mrisho (Tanga),
Suleiman Said Mpetula (Dar), Shaban Salum Mnyimani (Dar), Abood Yasser Ali
(Tanga), Juma Shabani Ngoma (Tanga), Juma Akida Yusufu (Tanga) na Miraji Yusufu
Semahimbo (Tanga).
Wengine ni James Christopher
Lukio (Tanga na Dar), Rabin Issa Mbaba (Mafia), Abdallah Rajabu Dole (Dar),
James Sakaya Henry (Dar), Bakari Kheri Nassoro (Dar), Faraji Juma Lota (Dar), Gervas Anselm Muganda
Matura (Musoma), Rawe Waikama Magarya (Tarime) na Abdulraheem Sadiki Mohamed
(Dar).
Wafuatao wamehukumiwa na
miaka yao kwenye mabano ila miji waliyotoka Bongo haikutajwa;- Rashid Habib
Muhsin (9), Abdallah Saidi (16), Hiridi Mamdadi Issa (12), Juma Mohammed
Mapande (16), Mwatadi Kulwa Hamisi (16), Hamisi Abdallah Mohammed (9), Erick
John Ibrahim (16) na Abdallah Farid Salum (9).
Thuweni Hamadi Suleiman,
Kileo Walter Exaudy na Jacqueline Clifford Fitzpatricque (Jack Patrick) hawa
bado hawajahukumiwa.
IDADI YA NCHI
Katika orodha hiyo, China
wapo Wabongo 65, Brazil 108, Kenya 34, Hong Kong 118, Pakistan 16, Falme za
Kiarabu 12, Japan 7, Morihsaz 6, Uingereza 5, Malawi 5, Uganda 4, Oman 3,
Uswisi 2, Italia 2, Marekani 2, Argentina 2, Uturuki 1, Ureno 1, Botswana 5,
Chile 1, Afrika Kusini 3 na Msumbiji 1.
Orodha ni ndefu, kama una
ndugu na unahisi amekumbwa na sakata hii lakini jina lake halipo gazetini
unaweza kufika Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge ukaoneshwa majina
zaidi.
Uwazi liliongea na Kaimu
Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, Aida Tesha
kuhusu kukamatwa kwa watu hao ambapo alikiri na kusema kuwa serikali inaendelea
kufuatilia takwimu za Watanzania wengine ambao wamekamatwa nje ya nchi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
|
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment