Mtu
mmoja mkazi wa Ubungo jijini Dar es salaam ambaye jina lake
halikufamahika mara moja amekutwa amekufa katika eneo la ufukwe wa
bahari hindi posta na kusababisha taharuki kwa wapita njia huku jeshi la
polisi likitaarifa juu ya tukio hilo na kufika eneo la tukio na
kuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka hospitali ya taifa ya Muhimbil.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment