Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanamuziki Bora wa Kiume, David Adedeji Adeleke 'Davido'
Katika kipengele Mwanamuziki Bora wa Kiume nominees walikuwa ni Anselmo Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria), Donald (Afrika Kusini) , Wizkid (Nigeria) na  Diamond Platnumz (Tanzania) ambapo mshindi alikuwa ni Davido kutoka Nigeria.

Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.

Tuzo ya Best Collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa sapoti  kwenye mitandao ya kijamii.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top