Diamond
na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizofanyika
usiku wa kumkia leo huko mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa
mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za
mkono. NI SUPERB!
Post a Comment
Post a Comment