Uholanzi wameikabili Hispania
kupita Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2010 kwa kuwafunga magoli 5-1
Mabingwa hao watetezi wa Dunia usiku wa June 13, 2014 huko Salvador Nchini
Brazil katika Mechi ya Kwanza ya Kundi B ikiwa ni kama marudiano baada ya Nchi
hizi kukutana Fainali ya Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Mwaka 2010 na
Hispania kushinda 1-0.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment