MISS Tanzania
2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo,
Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka
kwa raha zao.
Salha
Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo
maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
Baada
ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii,
walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa Abdullatif na
kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment