Maisha
ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa
MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo
leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym
tuzidi kufanya vyema.... Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki
wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa
nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda
nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment