March 21, 2025 03:09:19 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 

Katika moja ya magazeti ya leo, Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge amesema kwamba yeye ni nyoka tena mwenye makengeza na kwamba yupo hapa duniani kwa ajili ya kutafuta fedha si jambo lingine.


Mzee wa vijisenti amesema kwamba si mwizi wala fisadi kama wengi wanavyofikiri au kumuita bali anasaka fedha kwa kutumia akili na ujanja wake wenye makengeza.

Chenge amesema kwamba anajitahidi kutafuta fedha kwa ajili ya wananchi wa Jimbo la Bariadi Magharibi. Chenge amekuwa mwanasheria mkuu wa Serikali na mwenyekiti wa kamati ya uandishi wa Katiba.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
18 Feb 2015

Post a Comment

 
Top