Profesa Lipumba Asema Hana mpango wa kuhama CUF wala kuanzisha chama Kingine ........Ataja Sababu Zilizomfanya Amkatae Lowassa
Profesa Lipumba Asema Hana mpango wa kuhama CUF wala kuanzisha chama Kingine ........Ataja Sababu Zilizomfanya Amkatae Lowassa

Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kuhamia chama chochote. Aidha amesema hana mpango wa ku...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba
Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuat...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Breaking News: Mbowe Atangaza Kuahirisha Maandamano ya Oparesheni UKUTA Yaliyokuwa Yamepangwa Kufanyika Kesho
Breaking News: Mbowe Atangaza Kuahirisha Maandamano ya Oparesheni UKUTA Yaliyokuwa Yamepangwa Kufanyika Kesho

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufany...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Hotuba ya Edward Lowassa alipokuwa Iringa Jana
Hotuba ya Edward Lowassa alipokuwa Iringa Jana

Leo( Jana )  nimewatembelea ndugu zangu wa Kilolo - Iringa kuwashukuru na kuwaeleza kuwa tulishinda na ndio maana hawa mabwana wakubwa...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Prof Lipumba:Sihusiki na Vurugu zilizotokea Katika Mkutano wa CUF
Prof Lipumba:Sihusiki na Vurugu zilizotokea Katika Mkutano wa CUF

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba amesema hausiki na fujo wala vurugu zilizotokea ktk mkutano wa CUF na kuletea kusitishwa...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Mbunge kizimbani kwa maneno ya uchochezi
Mbunge kizimbani kwa maneno ya uchochezi

MBUNGE wa Jimbo la Tanga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Mbarouk amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Tanga ku...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Lowassa Apigilia Msumari Oparesheni UKUTA......Asema Haiwezekani Mtu Mmoja Azuie Kila Kitu
Lowassa Apigilia Msumari Oparesheni UKUTA......Asema Haiwezekani Mtu Mmoja Azuie Kila Kitu

Leo nimezunguka katika majimbo ya Mbeya Vijijini ,Vwawa na Tunduma nikiwaeleza kuhusu Operation UKUTA, UKUTA si fujo , UKUTA si mach...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Jeshi la Polisi Lamkamata Kijana akiuza fulana za UKUTA.......Latoa Onyo Kali Kwa Waliojipanga Kuandamana Septemba 1
Jeshi la Polisi Lamkamata Kijana akiuza fulana za UKUTA.......Latoa Onyo Kali Kwa Waliojipanga Kuandamana Septemba 1

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kudhibiti maandamano ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (U...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Lema Amjibu Waziri Mwigulu. Asema Yupo Tayari Kufa Akipigania Haki Operation Ukuta
Lema Amjibu Waziri Mwigulu. Asema Yupo Tayari Kufa Akipigania Haki Operation Ukuta

Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amemjibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kuwa Arusha ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Lipumba Aipasua CUF, Wajumbe Warushiana Viti na Kutukanana, Mkutano Wavunjika
Lipumba Aipasua CUF, Wajumbe Warushiana Viti na Kutukanana, Mkutano Wavunjika

Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Wananchi (CUF), uliofanyika jana jijini Dar es Salaam ukilenga kuwachagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyek...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Video: James Lembeli akizungumza kuhusu hatma yake kurudi CCM
Video: James Lembeli akizungumza kuhusu hatma yake kurudi CCM

Wakati jana  Rais Magufuli akiwa  wilayani Kahama  mkoani Shinyanga  alimpa nafasi aliyekuwa Mbunge wa Kahama kwa tiketi ya CCM na ba...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Wakili Kibatala: Mkurugenzi wa Bagamoyo Aliyetumbuliwa na Rais Magufuli ameponzwa na Kesi za Uchaguzi zilizoipa ushindi Chadema
Wakili Kibatala: Mkurugenzi wa Bagamoyo Aliyetumbuliwa na Rais Magufuli ameponzwa na Kesi za Uchaguzi zilizoipa ushindi Chadema

Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Peter Kibatala amempa pole aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Azimina Mbilinyi ...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Lowassa Akoleza Moto CCM....Awataka Wanaomuunga Mkono Ndani ya CCM Waendelee Kumpa Siri za Serikali
Lowassa Akoleza Moto CCM....Awataka Wanaomuunga Mkono Ndani ya CCM Waendelee Kumpa Siri za Serikali

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ana uhakika kuwa bado kuna wanachama wanaomuunga mkono ndani ya C...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Kikwete Atoa Dongo "Wapo Watu Walidhani CCM ingekufa na Walishajiandaa na Salamu za Rambirambi"
Kikwete Atoa Dongo "Wapo Watu Walidhani CCM ingekufa na Walishajiandaa na Salamu za Rambirambi"

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amekata mzizi wa fitna kwa kutangaza rasmi kuwa Mkutano Mk...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Maneno Mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba Baada ya Kuutaka Uenyekiti wa Chama Tena...
Maneno Mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba Baada ya Kuutaka Uenyekiti wa Chama Tena...

NGOJA NIWAELEZE UKWELI! Kama mzee wetu anao washauri, wamwambie kuwa "DALILI ZA MVUA NI MAWINGU". Na kwamba, NGOMA ivum...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Viongozi wa CUF Wamkataa Profesa Ibrahim Lipumba.......Wadai Sababu Zilizomuondoa Zingalipo, Kinachomrudisha ni Nini??
Viongozi wa CUF Wamkataa Profesa Ibrahim Lipumba.......Wadai Sababu Zilizomuondoa Zingalipo, Kinachomrudisha ni Nini??

Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitengua uamuzi wake wa kung’atuka kwenye wadhifa huo na kuomba kurejea, vi...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
 
Top