Kijana Huyu Amekutwa Akiwauzia Wakazi wa Temeke Mwisho Mishikaki ya Paka.
Duniani kuna mambo kwani Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam muuza mishikaki maarufu katika stendi ya Temeke Mwisho
Huyu ni Mmoja wa Paka Ambaye Alikuwa Akimuandaa Leo Temeke Mwisho.maarufu kama Said Mishikaki apigwa na raia baada ya kukutwa akiandaa mishikaki ya paka.
Huyu ni Mmoja wa Paka Ambaye Alikuwa Akimuandaa Leo Temeke Mwisho.maarufu kama Said Mishikaki apigwa na raia baada ya kukutwa akiandaa mishikaki ya paka.Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment