
Baada ya timu yake kupelekeshwa kwa dakika 120 na Costa Rica na kushindwa kupata bao, kocha Louis van Gaal alimuingiza kipa wa Newcastle, Tim Krul kwa ajili ya penalti.
Krul alipasha misuli yake moto haraka na kwenda kumbadili Jasper Cillessen dakika ya 118, kisha akaedna kuokoa penalti mbili kuipelekea nchi yake Nusu Fainali ya michuano hiyo.

Krul aliokoa penalti ya pili ya Costa Rica iliyopigwa na mchezaji wa Fulham, Bryan Ruiz na ya nne iliyopigwa na Michael Umana.Raha zaidi ni kwamba, Nahodha Robin van Persie, Wesley Sneijder, Arjen Robben na Dirk Kuyt wote wakafunga penalti zao na sasa Uholanzi itakutana na Argentina katika Nusu Fainali ‘tamu sana’ yenye hadhi hata ya fainali.
MATCH FACTS
Holland: Cillessen 6 (Krul, 120, 8), De Vrij 6, Vlaar 7, Martins 6 (Huntelaar 105), Kuyt 6, Wijnaldum 7, Sneijder 7, Blind 6, Robben 8, van Persie 6, Depay 6 (Lens 76 6).Subs not used: Vorm, De Jong, Janmaat, de Guzman, Verhaegh, Veltman, Kongolo, Clasie, Fer.
Booked: Martins, Huntelaar.
Penalty scorers: van Persie, Robben, Sneijder, Kuyt.
Manager: Louis van Gaal, 7.
Costa Rica: Navas 8, Gamboa 7 (Myrie 78 6), Acosta 6, Diaz 6, Gonzalez 7, Ruiz 6, Borges 7, Tejeda 7 (Cubero 97 6), Bolanos 6, Campbell 6 (Urena 66 6), Umana 6.
Subs not used: Pemberton, Duarte, Barrantes, Francis, Granados, Brenes, Miller,
Calvo, Cambronero.
Booked: Umana, Diaz, Gonzalez.
Penalty scorers: Borges, Gonzalez, Bolanos.
Manager: Jorge Pinto, 7.
Referee: Ravshan Irmatov (Uzbekistan) 8.
Attendance: 51,179
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
Post a Comment
Post a Comment