
Ivory Coast imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali katika michuano ya AFCON2015 kwa kuifunga Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye uwanja wa Estadio de Bata kwa magoli matatu kwa moja.
Ilikuwa ni Ivory coast walionza kujipatia bao kwa suti kali lililopigwa na Yaya toure na kumshinda mlinda mlango mnamo dakika 21 dakika ya 24 Congo wakasawazisha kwa njia ya penati kupitia kwa mchezaji wao Mbokani , dakika 4 kabla ya mapumziko Gervinho akaifungia timu yake goli la tatu kipindi cha pili katika dakika 68 Kanon 68 akaindikia timu yake goli la tatu mpaka dakika 90 zinakwisha Ivory Coast 3 vs DRC 1.
Ivory Coast wanasubiria mshindi kati ya Guine na Ghana nusu fainali ya pili itayochezwa Alhamisi leo saa 22:00
Timu zilipangwa hivi
Timu zilipangwa hivi
Democratic Republic of Congo: Kidiaba, Mpeko, Kassusula, Zakuani, Kimwaki, Mbemba, Makiadi (Ndombe 79'), Mabwati (Kebano 69'), Bolasie, Bokila, Mbokani (Kabananga 61')
Ivory Coast: Gbhouo, Kanon, Toure, Bailly, Aurier, Tiene (Diarassouba 72'), Toure, Die, Gradel (Kalou 62'), Gervinho, Bony (Traore 90+2')
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment