
Mabao yote ya Simba yamefungwa na mganda Danny Sserunkuma katika dakika ya 1 na 48 kwa kumalizia kros za mganda mwenzake ambaye leo alikuwa katika kiwango chake kilichozoeleka , Emmanuel Okwi.
Kwa matokeo hayo Simba imefikisha point 16 na kupanda hadi nafasi ya 7 ikiwa imecheza mechi 12.
Matokeo ya mechi nyingine za leo ni haya:-
Polisi Morogoro 1-0 Mbeya City (Bahanuzi)
Tanzania Prisons 1-1 Kagera Sugar
Coastal Union 0-0 Mtibwa Sugar
Simba SC 2-1 JKT Ruvu
Mechi za kesho ni:-
Yanga SC Vs Ndanda FC
Ruvu Shooting Vs Stand United
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment