Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Falcao preview.jpgMchezo huo uliopigwa katika dimba la Old Trafford umemalizika kwa Louis Van Gaal kuiongoza United kuweza kulipa kisasi kwa kuifunga Leceister kwa magoli 3-1.
Magoli ya United yalifungwa na Van Persie, Radamel Falcao na moja la kujifunga kwa Leceister wenyewe.
Mpaka timu hizo zinaenda mapumziko United walikuwa wanaongoza 3-0.
Kipindi cha pili United walipunguza kasi na Leceister wakajaribu kufanya maajabu ya kusawazisha magoli na hata kupata ushindi kabisa lakini siku haikuwa yao – wakaishia kupata goli moja tu lilofungwa na Wasilewski.
MANCHESTER UNITED (4-1-2-1-2): De Gea 6; Valencia 7 (Mata 77, 6), Jones 6.5, Rojo 7, Shaw 7; Blind 7.5; Rooney 7, Januzaj 6.5; Di Maria 7; Van Persie 8 (McNair 68, 6), Falcao 7.5 (Wilson 80, 6)
Subs not used: Valdes, Smalling, Herrera, Fellaini
Goal: Van Persie 27, Falcao 32, Morgan OG 44
LEICESTER (4-4-2): Schwarzer 6; Simpson 5, Wasilewski 6.5, Morgan 5; De Laet 6; Vardy 5 (Cambiasso 46, 6), Drinkwater 5, King 6, Schlupp 5; Ulloa 5 (Nugent 62, 6), Kramaric 5 (Albrighton 62, 6.5)
Matokeo mengine ya michezo ya leo:-
d

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
31 Jan 2015

Post a Comment

 
Top