Umekwisha wahi kufikiria ndege 'zikichoka' na 'kustaafu kazi'
zinapelekwa wapi? Haya ni maeneo kadhaa ambapo utakuta "makaburi ya
ndege".
1. Newbury, Ohio- Marekani 2. Jangwa la Mojave,
California- Marekani, 3. The Boneyard, Arizona - Marekani, 4. Pinal
Airpark, Arizona-Marekani, 5. Aviation Warehouse, California- Marekani,
6. Khodynka Aerodrome, Urusi, 7. Chernobyl, Ukraine.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment