Bomu limerushwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki nakujeruhi watu zaidi
ya wanane waliokuwa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vema.
Taarifa kamili itakuijia baada ya muda endelea kutembelea mtandao huu.
(Picha kwa hisani ya JF)
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment