Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo
mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha
Chris Brown tangu atoke jela.
Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown
amenenepa tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo
ilijumuisha sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo kwenye
hiyo party ni T Pain,Tyga,Big Seam na marafiki wa karibu pamoja na
familia.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment