Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa muziki na filamu H. baba amelazwa usiku wa kuamkia leo hospital ya taifa ya muhimbili jijini dar es salaam baada ya kugundulika anasumbuliwa na  ugonjwa wa dengue
H.baba akiwa amewekewa drip hiyo jana kabla ya usiku wa kumkia leo kupelekwa muhimbili.
Flora mvungi ambaye ni mke wa H.baba amesema:muhimbili, now saa nane usiku ilibidi tumlete baada ya kuona hali yake imekuwa mbaya , amegundulika anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue thanx to god anaendelea vizuri and that is drip. Asante my manager yahya for your greatest help. mungu akuzidishie.
asanteni pia my fans kwa maombi yenu.
H.baba alianza kujisikia vibaya jumatano wakati anajiandaa kwenda kumuaga mtayarishaji wa filamu na vipindi vya TV, marehemu George tyson aliyefariki kwa ajali ya gari may 30 mkoani morogoro.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top