Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Abiria aliyekuwa kwenye bodaboda ambaye jina lake alikufahamika mara moja.
Bodaboda iliyogongwa ikiwa chini.
Dereva wa lori la mafuta akitoa maelezo kwa askari wa usalama barabarani.
Dereva bodaboda (mwenye kofia) akishauriana na  mashuhuda.
Jeraha la mguuni alilopata dereva wa bodaboda.
Hilo ni jeraha alilopata mkononi
Pikipiki ikipakiwa kwenye Bajaj na kupelekwa kituoni.
Pikipiki ikiwa chini ya taili la lori.
Sehemu ya tairi iliyopata ‘dhoruba’ baada ya kuigonga bodaboda.Sehemu iliyovunjika kwenye pikipiki.
Mashuhuda wakishangaa kwenye tukio hilo.
WATU wawili akiwemo dereva bodaboda na abiria wake mwanamke walijikuta wakinusurika kifo baada ya lori la mafuta lililokuwa mbele yao kuigonga na kulikanyaga tairi la mbele ya pikipiki hiyo wakati ikitaka kuingia katika kituo cha mafuta cha GBP Sinza-Mori mchana wa leo.
Watu hao wawili walitupwa chini na dereva wa bodaboda kupata michubuko kwenye mguu na mkono.
Na Gabriel Ng’osha/GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top