ajaLi ya iliyotoke majira ya saa 1 na
nusu jirani na baa ya samaki Samaki
barabara kuu ya Morogoro -Dodoma,ambapo dreva wa Lori hii alibanwa
vibaya jambo lililopelekea wananchi kuvunja mlango wa gari hilo na
kumchomo,Kwa Rehema
za Mungu hadi anachomolewa dereva huyo alikuwa mzima ingawa aliumia viba
baada kuvunyika sehemu nyingi katika mwili wake.
Ajari
ya kwanza ilitokea majira ya saa 12 jioni eneo la Kiwanda cha Sabuni
cha Komoa barabara kuu itokayo Msavu kuingia katikatika ya Mji wa
Morogoro,ambapo dereva wa bodaboda na abiri wake waligongwa na Lori na
kufa papo hapo.
Askari wa Usalama Barabarani akiwa eneo la ajali
Wakati
ajali hiyo inatokea huku wakitu wakihangaika kuvunja mlango na
kumchomoa dereva watu walikodi gari hilo waligoma kushuka kwa lengo la
kulinda mzigo wao baada ya kushuhudi umati mkubwa wa watu ulijitokeza
kwenye ajari hiyo muda huo wa usiku
Moja
ya gari ndogo iliyogongana na Conter hiyo,ambapo mashuhdua wa tukio
hilo walisema kwamba ajari hiyo ilihusihsa magari matatau
Damu zilitapakaa eneo hilo la dereva picha na Dustan Shekidele,Morogoro.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment