Serikali 2 zitaendeleza hisia za Utanganyika kwa kasi
Mkuu wa Nchi kamaliza kuhutubia Bunge la Katiba. Kimsingi kaegemea
upande wa msimamo wa Serikali 2 ambao ndio msimamo wa CCM chama
anachoongoza. Hata hivyo kasisitiza kuwa iwapo tunataka Serikali 3 basi
tuzingatie hofu zilizopo ikiwemo masuala ya Uraia, uwezo wa kifedha wa
Serikali ya Muungano nk.
Ni dhahiri kero za Muungano zilizodumu kwa zaidi ya miaka 50 haziwezi kutatuliwa na muundo ule ule uliozitengeneza.
Ni dhahiri kero za Muungano zilizodumu kwa zaidi ya miaka 50 haziwezi kutatuliwa na muundo ule ule uliozitengeneza.
Jawabu la muungano wa Tanzania ni muundo wa Serikali tatu wenye Serikali ya Muungano yenye nguvu na rasilimali. Tunaloweza kuongeza ni kuweka mfumo wa Tawala za Mikoa wenye kupanua demokrasia zaidi kwa kuchagua wakuu wa mikoa na kufuta wakuu wa wilaya.
Ni dhahiri Uraia itakuwa ni 'deal breaker' kwenye suala la muundo wa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment