Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

TwitterMtandao wa kijamii wa , Twitter, unafungwa nchini Uturuki , saa chache baada ya waziri mkuu , Recep Tayyip Erdogan, kuahidi kuuondoa .

Bwana Erdogan — ambaye anakabiliwa na kashfa kubwa ya ufisadi aliwaambia maelfu ya wafuasi wake katika mkutano wa uchaguzi kuwa hajali kuhusu namna jamii ya kimataifa itakavyochukulia hatua yake .

Neelie Kroes, ambaye ni naibu rais wa tume ya muungano wa Ulaya amesema umamuzi wa kufungwa kwa mtandao huo ni wa kulaumiwa .

Serikali ya Bwana Erdogan imekuwa ikilalamika kuwa mtandao wa Twitter ulipuuza uamuzi wa mahakama ulioitaka viunganishi vya taarifa zake vinashukiwa kurekodi mawasiliano yake binafsi.

CHANZO: BBCSWAHILI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top