wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa anaogopa kuzaa kwa sasa kwani bado hajajipanga sawasawa.
Mkali wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper.
Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alifafanua:
“Naogopa kuharakisha kuzaa, nisije nikazaa halafu mtoto akawa chokoraa, acha nijipange kwanza"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment