Watu
wawili wamefariki dunia jana baada ya bodaboda yenye usajili namba T
293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye
usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo
katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi na abiria saba walijeruhiwa.
Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na AbdulazizFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment