wastara juma |
Mcheza filamu mwenye jina kubwa Wastara Juma amesema ajawai na hawezi kutoa rushwa ya ngono ili acheze filamu
Wastara amesema mtu kutakwa kimapenzi sehemu yoyote ya kazi siku hizi ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake hawezi kutoa rushwa ya ngono na haitakuja kutokea
“Mimi siwezi kutoa rushwa ya ngono popote kwanza hilo wazo sina kichwani mwangu kabisa na siwezi“
Wastara amewataka mabinti wenye vipaji wasiwe na tamaa za kutaka mafanikio kwa halaka mpaka wanafikia atua ya kuuza utu wao kwa kutoa rushwa ya ngono badala yake wajitume tu kama ipo ipo tu watatoka .
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment