MUIGIZAJI wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka
‘Mainda’ amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa kwake kunamfanya aumwe
mara kwa mara..
Staa wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’
Akizungumza na papazi wetu, Mainda alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa wa chango unaomsumbua mara kwa mara ameshauriwa na madaktari azae ndiyo itakuwa suluhu.
“Ugonjwa huu wa chango unanitesa sana,
nimevumilia sasa nimechoka, nahitaji kupumzika na ili nipumzike
inanibidi nizae tu kwani haya mateso nimeshayachoka,” alisema Mainda.
Post a Comment
Post a Comment