BRAZAMENI mwenye
swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’
amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa
kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna.
Hemed Suleiman ‘PHD’.
Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.”
-GPL
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment