Leo asubuhi tulikutana na kioja kingine ambacho kilinishangaza zaidi, Ilikuwa Majira ya mbili asubuhi,Paparazi wetu alikuwa anamwibukia nyumbani kwake ili aweze kufanya nae mahojiano kuhusiana na kile kitendo cha kuonekana kwa sangoma na kutaka kujua alikuwa anafanya pale na kwa ajili gani, Ila kabla majibu ya maswali hayo yakiwa bado hayajapatikana,Paparazi wetu kabla ya kufika nyumbani kwake alikutana na msanii huyo akiwa ndani ya Gari ya kukodi Namba za Usajili ...............:
Masanii wa kizazi kipya snura wa majanga Ikiwa imepita siku moja tu baada ya kunaswa kwa sangoma akiwa amebeba kuku mwekundu huku akiwa ameshikilia tunguli akifanyiwa manuva,
Leo asubuhi tulikutana na kioja kingine ambacho kilinishangaza zaidi, Ilikuwa Majira ya mbili asubuhi,
Paparazi wetu alikuwa anamwibukia nyumbani kwake ili aweze kufanya nae mahojiano kuhusiana na kile kitendo cha kuonekana kwa sangoma na kutaka kujua alikuwa anafanya pale na kwa ajili gani, Ila kabla majibu ya maswali hayo yakiwa bado hayajapatikana,Paparazi wetu kabla ya kufika nyumbani kwake alikutana na msanii huyo akiwa ndani ya Gari ya kukodi Namba za Usajili ...............:
Paparazi wetu ilibidi naye ilibidi ageuze gari na kumfwatilia ,Ilikuwa ni kazi ngumu sana lkn alifanikiwa kumnasa Msanii huyo na kumshuhudia akitupa kitu baharini ambacho hakijajulikana ni kitu gani, Paparazi wetu aliendelea kujitega vizuri ili aweze kupata tukio kwa umakini likini hakifanikiwa na Msanii huyo kustukia mchezo na kutoka nduki kama vile mtu aliyefumaniwa na mume wa mtu:
CDT:Boss Ngasa Blog
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment